Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Saturday, 5 January 2013

Chaguo La Mswahili Leo;DDC Mlimani Park - Neema,Sauda na Nyingine Nyingiiiii!!!!!

Waungwana;"Chaguo La Mswahili Leo" ni "Wana wa Sikinde Ngoma Ya Ukaye".Maneno Meengii yanapunguza Uhondo na kujua Uhondo wa Ngoma Ingia Uchezeeee!!!!
Waungwana kama zimekugusa/kuzipenda usikonde unaweza kutuambia Wimbo upi umekugusa na kwasababu ipi/Unakumbukia nini?

"Swahili NA Waswahili"
Twende Sotee......Mv. Mapenzi Meli ya Wapendanao Moyo kama Bahari Manahodha mimi na wewe,x2.......Duniani kuna Mengi sawasawa na Bahariiii Kuna Papa na Nyangumi Tena wale wa Hatariii.......
Mmhhhhh Sauti....?? Ngoja Niendelee na Chumvi..Lakini naweza pata SAFURA Bure Chumba cha kipaji cha Uimbaji Sikuingizwaaaaaa!!!!!!!!! Hahhahahaaaa..

Pamoja Sana Waungwana.

2 comments:

emuthree said...

Naona una nyimbi za zilipendwa nyimgi, kuna mziki mmoja unaoitwa TAKADIRI, uliimbwa na OSS, ENZI HIZO, mimi nimejaribu kuutafuta sana, sijaweza kuupata!

''Takadiri wangue, nakuomba mpenzi mezea, kwa asilimia tisini moyo wangu umeelekea kwako....''

Hayo ni baadhi ya maneno yake

Rachel Siwa said...

Ndugu wa mimi.Asante..nazipenda sana za zamani.
Nitajitahidi kuzitafuta....

Pamoja daima!!!