Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Saturday, 19 January 2013

Chaguo La Mswahili Leo:Mambo ya Pwani;AT - Bi Harusi,Mzee Yussuf-Na hiili Kaseme,Offside Trick-Aambiwe na Nyingine nyingiii!

w

Waungwana;Chaguo la Mswahili Leo ni Mambo ya Mduara/Taarab..... Ralaralaaaaaa...lalalaaaahhhh..Mmmhh ....mimi sina Mengi kama wewe unayo Funguka /Ongea tuu.

Swali la Kizushi;-Eti nyimbo za Taarab/Mduara nyingi zinauchochezi,Ushari,Vidongo na Umbea ......Haswa sa siku hizi.Za Zamani nyingi zilikuwa Kimapenzi Zaidi......Unasemaje Muungwana?

         "Swahili NA Waswahili" Twende Soteeee sasa.


4 comments:

EDNA said...

Da Rachel kama nakuona vile unavyo serebuka na kidole juu,hahaaaa heri ya mwaka mpya mwanakwetu.

Rachel Siwa said...

Hahaha!! Kidole juuu...ukimkanyaga mwenzio umekusudia...Mwanakwetu nanyi pia...Umepotea sana.

Yasinta Ngonyani said...

Edna kama vile uliota ni kweli hata mie nmwona kachiki anyokatika hapo..hakuna kulala...

Rachel Siwa said...

Hahahahaha KADALA......Kidole juuu mtu wangu!!!!!