Soda za kwenye Mtungi...nimezipata hukooo Ruhuwiko....
Kitu Chipsi na Nyama Choma/kuku..... hapa Diet hakuna...
Waungwana;Jikoni Leo..Mambo kama hayo....
mimi sina meengi..zaidi nasubiri kutoka kwako ..
Umeshawahi Kula shaba/Pilau.Chakula cha Shughulini?...Nini ubaya wake na Nini Uzuri wake?
Karibuni sana kwa Maoni/Ushauli na Kuelimishana kwa upendo.
"Swahili NA Waswahili" Pamoja Saaana.
2 comments:
Huu sasa ni uchokozi kabisa..vipi kachiki hakuna ugali na matembele au kisamvu leo?..Na maji je? maana naona kuna soda tu:-)
Kadala shaka ondoa kabisa hapa kila kitu..maji ya mtungini,Matembele,Kisamvu,Dagaa,Mrenda,Ugali wa Muhogo na.............
Post a Comment