Muendelezo wa 147 Critics.leo tunamsikiliza mdau na mwanamuziki muhimu kwenye Tasnia ya Muziki
wa kizazi kipya Judith D.M Wambura a.k.a Lady Jay Dee,Ufahamu wake kuhusiana na marekebisho
ya sheria ya ushuru wa bidhaa Sura 147,yanayogusa Muziki na Filamu.
Tusikilize 147:Judith D.M Wambura a.k.a Lady Jay Dee Akiwa ni mtu wa tatu kuelezea maoni yake kupitia Video;
Judith Daines Wambura Mbibo akielezea mitazamombali mbali kuhusiana na uwekaji STAMP kwenye kazi za sanaa ya Muziki na Filamu. Huu ukiwa ni muendelezo wa kuwahoji wadau mbalimbali kuhusiana na mabadiliko hayo ya sheria ya ushuru wa bidhaa.
Kwa maelezo zaidi ingia;TheImageProfession
"Swahili NA Waswahili" Pamoja Sana.
No comments:
Post a Comment