Wapendwa; Nawatakia J'Pili yenye Shukrani na Kumtukuza MUNGU.Kwakuwa watu wengi wametia mikononi kutunga kwa taratibu habari za mambo yale yaliyotimizwa katikati yetu .....
Neno La Leo;Luka Mtakatifu;1:1-4.....Upate kujua hakika ya mambo yale uliyofundishwa.
"Swahili NA Waswahili" Baraka za MUNGU ziwe nanyi.
1 comment:
Tupo pamoja
Post a Comment