Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Monday, 14 January 2013

Siku kama Ya Leo Kaka Isaac Alizaliwa!!!!!!

Siku kama ya Leo miaka kadhaa ilitopita, kaka ISAAC, babake Sandra na Tracey,Mume ya Madame Rachel.... Alizaliwa!!!!!

Tunakutakia kila lililojema Maishani, MUNGU azidi kukulinda na kukubariki kila iitwapo Leo.Akujaalie miaka mingi  yenye Amani,Furaha,Upendo na Upole Kiasi.. Ufanikishe Malengo yako na Uzidi kuwa Baraka kwetu na kwa Jamii.

 Na Iwe kama Tulivyo NENA.
AMEEEEEN!!!!!!!!!!!

"Swahili NA Waswahili" Pamoja Daima.



2 comments:

Mija Shija Sayi said...

Hongera sasa kaka Isaac..

Mungu akuzidishie miaka uishi uone kizazi chako cha nne...

Happybirthday..

Yasinta Ngonyani said...

Hongera kwa< siku ya kuzaliwa shem wa mimi..Mwenyezi Mungu na akuzidishie mara dufu afya njema na pia ufanikishe kile utakachokifanya.