Kitururu na Utaifa.. |
Kitururu utotoni na wazazi.. |
Mtoto Max ....ni Zawadi Kubwa kwake..... kitururu |
Kitururru..Baba Max na Ulezi.. |
Kitururu Mawazoni...Ametulia...... |
Kitururu na Mapishi.... |
Simon wa Kitururu Mitaani... |
Waungwana;Siku kama ya Leo,Kaka Simon Kitururu,Babake Max....Muzee wa Yeah...kaka Kadoda.......duuhh Majina mengine atakuja kumalizia kaka Ihayabuyaga Chacha O' Wambura.
Tunakutakia kila la kheri na Baraka Maishani mwako.Uwe na Wakati Mzuri Leo na Siku zote!!!!!
Swali La Kizushi...Unamfahamu /Kufikiri ni Mtu wa Aina Gani kaka Simon Kitururu?
kujua zaidi kuhusu kaka huyu ingia;http://simon-kitururu.blogspot.co.uk/
"Swahili NA Waswahili" Pamoja Sana.
2 comments:
Hongera baba Max!aka mtakatifu Simon!
Hongera baba Max.. Mungu azidi kukupa miaka tele..
Post a Comment