Wapendwa Natumaini mlikuwa na J'Pili Njema..kama kuna iliyokuwa na vikwazo,shida na Tabu..Mtegeemee MUNGU!!
Hata alipoona wengi miongoni mwa Mafarisayo na Masadukayo wakiujia ubatizo wake,Aliwaambia Enyi wazao wa nyoka,ni nani aliyewaonya ninyi kuikimbia hasira itakayokuja?
Neno La Leo;Mathayo Mtakatifu:3:1-17:Na tazama,sauti kutoka mbinguni ikisema,Huyu ni Mwanangu,mpendwa wangu,ninayependezwa naye.
"Swahili NA Waswahili" Neema na Baraka za MUNGU ziwe Nanyi Daima.
No comments:
Post a Comment