Waungwana;Mliokuwa na Ndoa na Mnaotarajia na Mnaofikiria na Mliofikia na.........
Kama hujabatika kuina hii..Naomba upatapo muda kidogo ichungulie.....
Na kama wewe ulibahatika kuiona..Jee umejifunza nini? nawe ukishaiona Tunaomba utuambie nini umejifunza?.
Swali la Kizushi;Ndoa ni NINI?
Karibuni sana katika Yote!!!!!
"Swahili NA Waswahili" Pamoja Saaana.
No comments:
Post a Comment