Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Sunday, 3 February 2013

Muwe na J'Pili ya Matumaini na Amani;Burudani-Suma Mwakalibule - Indumbula na Nyingine nyingii!!!!!!!!



Wapendwa;Nawatakia J'Pili ya Matumaini,Amani,Haki na Upendo...Wamtumainio BWANA ni kama mlima Sayuni,Ambao hautatikisika,wakaa milele...Neno La Leo:Zaburi 125:1-5:Kama milima inavyozunguka Yerusalemu,Ndivyo BWANA anavyozunguka watu wake,Tangu sasa na hata milele.........Endelea.

"Swahili NA Waswahili"
Amani ikae na Nanyi.

3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

iwe njema kwako na familia na pioa kwa yeyote atakayepita hapa...Umetoka chicha KACHIKI:-)

Mija Shija Sayi said...

Duuu..!! hapo ungeongeza na kalipstiki kekundu, ingekuwa balaa tupu..

Yasi nakuunga mkono KACHIKI katoka ile mbaya..

Rachel Siwa said...

Asanteni sana dadazz wa mimi...

hahahaha dada mkuu msaidizi.....kalipusitiki kekundu nitajaribu Summer..na Mawani!!!!

Lakini usisahau Tukienda kwa KADALA..Kumnyoa Nyusi!!