Ahhhhh mwenyewe da'Rabiah..Mzaa Chemaaaa..mamake Naomi na Nadia..Muke ya Nyembo ...Mutoto ya Abuu Jumaa Mujukuu wa Tuwa!!!!
Waungwana Mtoto wetu NAOMI NYEMBO..Ametimiza miaka 5..
Wazazi/Familia.Inamshukuru sana MUNGU kwa zawadi ya kuwa na NAOMI..MUNGU azidi kumlinda na kumbariki kwa kila jambo.Awe Baraka kwao na kwa Jamii Pia.
Da' NAOMI nasi tunakutakia kila lililojema naAmani kila iitwapo Leo, Uwe mtoto mwema na Ufanikishe Malengo yako. Uwe Kichwa na si Mkia,Ukue na Kuongezeka Imani.
Wazazi/walezi hatua gani ya makuzi ya mtoto wako huwezi kuisahau? Alitambaa/hakutambaa,Alichelewa kutembea,Alikuwa Mlizi/kulia sana,Kutokulala,Utundu,Kupenda/kutopenda Kula na...............
"Swahili NA Waswahili"Upendo na Umoja. |
9 comments:
Hongera da Naomi kwa kutimiza miaka mitano..Duh ilikuwa zamani kweli nilikuwa na umri huo:-)
Ik kan niet geloven dat de tijd gaat zo snel al, vijf jaar!!!!!!!, Naomi, Ik bid dat God geeft je meer vele jaren te leven.
Gelukkige verjaardag Naomi..
Gefeliciteerd Rabie en Nyembo..
Happybirthday Aunt Naomi, may Allah bless you
Dank u mevrouw Mija!!!!!!
Khaa! Madame Rachel kwa ushapu!! Hahahaa hapo ninahakika Papaa wa nyumba kahusika..!!!au?
HONGERA KWA kutimiza miaka hiyo, na tunamuomba mungu amjaze heri, baraka na fanaka
nashukuru wapendwa wangu wote kwa kumuwish mwanenu naomi mungu nanyi hawabariki kwa kila jambo na bila kumsahau maamkuwa siwa asante sana mama yangu kipenzi.
dank u wel @mija shija sayi
thanx aunty @rehema
Post a Comment