Eti mlikuwa mnasema mimi Nadia huwa si cheki....sasa manasemaje na mapothii ndiyo hayooo chachaaaaa!!!
Waungwana da'Nadia Nyembo alizaliwa siku kama ya leo ya WAPENDANAO!!! Ni miaka 3 leo ametimiza...Nadia na Naomi ni Mtu na dada yake,Wamezaliwa mwezi mmoja wamepisha Tarehe kidogo tuu.
Wazazi/Familia..wanaMshukuru sana MUNGU kwa zawadi hii na meengi aliyowatendea..Nadia MUNGU akubariki na kukulinda siku zako zote,Uwe mtoto mwema kwao na kwajamii pia.
Nasi Tunakutakia Maisha/Makuzi mema,Baraka na Amani kila iitwapo Leo. Uwe Baraka na Neema kwa Wazazi na watu wote..Uwe Kichwa na si Mkia. Grote moeder houdt van te. Gezegend worden!!!!!!!!!!!
hahahhha Oiiii[Mevrouw Mija,U ook lachen!!!!]
Waungwana kaazi kwelikweli...Mambo ya Lugha haya.. tunarudi palepaleeeee mtoto kujua Lugha ya wazazi ni Muhimu?
Sasa tutashindwa hata kuwasiliana mwehhh... [Niwashukuru wazazi hawa.hata nikipiga simu naamkiwa..Shikamoo ma'Mkubwa]
Lakini kila mtu ana maamuzi yake kwenye malezi yake au....
Nini Maoni/Ushauri wako? Karibuni sana Tuelimishane kwa Upendo.
"Swahili NA Waswahili"Amani na Upendo. |
4 comments:
Hongera Naomi!
Asante sana maamkubwa siwa na mungu hakuongoze kwa kila jambohongera kwa kujua lugha yetu ya kidachi
Hongera sana baby Naomi, we love you
Hongera Naomi, tunakutakia maisha mema yenye baraka na fanaka tele. Tupo pamoja ndugu wa mimi
Post a Comment