Umoja wa watanzania Ujerumani (U.T.U) Unapenda kuwajulisha kwamba Sherehe za miaka ya Muungano Wa Tanzania Bara na Visiwani zitafanyika mjini Koloni, ujerumani siku ya jumamosi Tarehe 27.04.2013 Kuanzia saa 8 za Mchana
katika ukumbi wa Circus Fabric uliopo katika anuani hii::-
Bergisch Gladbacher Strasse 1007a
51069 Kцln
Vikundi mbali mbali vinatarajiwa kutumbuiza
Ufunguzi saa 8 mchana
Maigizo ya watoto
Sarakasi ya watoto
Sarakasi ya wakubwa
Ngoma za kiasili kutoka Tanzania
Break Dance
Live Bands
Maonyesho ya mavazi ya kisili ya kitanzania
Pia kutakuwa na chakula (a.k.a mnuso)
Kila mtanzania anaweza kushiriki kuuza bidhaa zake binafsi za sanaa kama Vinyago, picha,michoro, ususi NK. kuchukua nafasi katika ratiba ya maonyesho, wasanii wanaotaka kushiriki katika maonyesho wanatakiwa kujiandikisha moja kwa moja kwa Mwenyekiti wa UTU kupitia barua pepei ifuatayo-:
Umoja ni Nguvu! Utengano ni Udhaifu !
2 comments:
HONGERENI SANA, Maana kama unjali muungano ina maana unjali urafiki na udugu,
Hakina naungana na aliyetangulia ukiungana basi udugu ,ujamaa na urafiki utadumu..Nawatakia kila la kheri...
Post a Comment