Hahahahaha....Siku Hazigandiiiii mwehhh
Waungwana;Mambo hayo...kama kuna uliyemtambua hapo baelezeee..Tuambieee..
YOndooooo sister ................Tusindikizie Salamu Leo!!!!
Unayo yako/zako za zamani unapenda kuungana nasi katika kukumbushana? tutumie kupitia email;rasca@hotmail .co.uk
Karibuni Woooteee....hahaaha .
"Swahili Na Waswahili"Kwaheriiiiii |
7 comments:
enzi hizi aisee nilikua sina kitu kabisa.basi mjini jamaa aliekua na kideo kiingilio lazima ununue chai na donath ndo uingie.bouncer yuko mlangoni.daah nilikua natafuta tundu napiga chabo mkanda mwanzo mwisho.tumetoka mbaali
Kweli ya kale ni mazuri..na hapo juu kwenye picha upo nawe kachiki si ndiyo:-)
hahaahahaha kaka Isaac tumetoka mbali si mchezo..vipi Baunsaaaa angekukamata?
KADALA unafikiri KACHIKI ni yupi hapo?
sijui huyo mwenye suti????
Aliefanana na mwanangu Tracey eti sasa mamaya mubena dadake hiyo ya juu yagauni jeusi ilikuwa kibinda nkoi nini?
Kweli ya kale dhahabu,
Waijua hata mababu
kuipata ni thawabu.
Anonymous..aliyefanana na Tracey yupi?..
Ndugu wa mimi naona mashariiiiiii hayooooo!
KADALA Sina hakika kama ni KACHIKI hUYO!!!
Post a Comment