Nimatumaini yangu J'Pili inaendela vyema. Tumalizie kwa Wema,Busara,Hekima na Upole Kiasi...
[1]Mzee usimkemee,bali umwonye kama baba; na Vijana kama ndugu; [2]Wanawake wazee kama mama;wanawake vijana kama ndugu wa kike; katika usafi wote. Neno la Leo:Timotheo:5:1-16
"Swahili NA Waswahili" MUNGU Awabariki. |
2 comments:
Ilikuwa burdani, ni mitihani ya hapa na pale, lkn twashukuru, imepita na sasa ni j3 njema, Kila la heri na wewe twakutakia J3 njema, Tupo pamoja
Ahsante Kachiki..naamini nawe ulikuwa na jp njema na familia..amina
Post a Comment