Wapendwa/Waungwana..Leo Tumesheherekea/Tunasheherekea Siku Ya MAMA[MOTHERS DAY]..!!!!Niwatakie kila la kheri na Baraka kina MAMA Wote!!!!!!!
Na Wasiokuwa Mama lakini wanahitaji kuwa MAMA .MUNGU awajaalie nanyi...Mtaitwa MAMA.
Pia Ahsanteni Sana Kina BABA Kwa Yote,Kwani Pasipo Nyie Tusinge itwa MAMA!!!!.
Tumalize J'Pili hii Vyema na Kumshukuru MUNGU.... [1].BWANA akasema na Musa, akamwambia,[2]Nitakasie mimi wazaliwa wa kwanza wote,kila afunguaye tumbo katika wana wa Israeli,Wa binadamu na wa Wanyama; ni wangu huyo..
Neno La Leo;KUTOKA:13:1-16.Jambo hilo litakuwa ishara mkononi mwako,na utepe katikati ya macho yako; kwa kuwa BWANA alitutoa Misri, kwa uwezo wa mkono wake.
"Swahili NA Waswahili"Mbarikiwe Saaana. |
5 comments:
Rachel utapitwa urefu sasa hivi... Happy Mother's Day to all women!!!
Da mkuu msaidizi umeniwahi...Ni kweli kachiki sasa hivi unapitwa urefu ila haupo peke yako ...LOL Inapendeza kwa kweli KHERI SANA AKINA MAMA WOTE!!!NA NATUMAINI JUMAPILI YAKO ILIKUWA NJEMA NA FAMILIA YOTE.
Ameeeeeeen,wanangu warembo hao... hongera sana mwanakwetu.
Asante kwa ujumbe mzuri nawe ukabarikiwe mno....Nyimbo za Miriam nimezipenda.
Natumai sikuchelewa
Post a Comment