Waungwana;Filamu/Hadithi hizi na Nyingine ni zamuda.lakini mimi bado nazipenda na nipatapo muda huwa nazirudia...
Yaani zina mafundisho na Mifano/Yaliyotokea/Yanayoendelea Kutokea katika Maisha ya kweli katika Jamii.
Kuna lolote unakumbuka,kukugusa,kukutokea wewe au mtu wa karibu,Kusikia Jee?
kuona Zaidi ingia;swahiliwood
"Swahili na Waswahili" Pamoja Daima.