Mhhh ...hili Joto Hasira..Upepo hakuna....Naruka Mwenyee..nasioni maana ya sisi kuzinguana..kila mtu anajua sana..
Mhhh sikiliza mwenyeweee...Muungwana
Usiusemee Moyo wa Mwenziwako ooohhh.
Mmhh pole kwa Wanawake wote wanaopitia haya.....
Mhhh...Wameanza tenaaa oohhh ...Hadithhhh hadithiiii njoo utamu koleaaa..wanok..nok..
Njoo tu dance njoo dance...
Mhhh......jay Dee mwisho...mmhhh..
Machoni kama watu Moyoni...hawana Utu.Imani imetoweka mabaya yanaongezekaaa..
Mhhhhh..usimpe nafasi.......
Endelea kuburudika na kwenye nyimbo kuna mengi ya kujifunza pia..
Huyu dada mimi huwa ananikosha/napenda sana Nyimbo zake na hata baadhi alizoshiriki..
Huwa sizichoki hata za zamani..nikipata muda nazipitia za Zamaniiiii...
Vipi wewe Muungwana JIDE Anakubamba/kupenda?Katika hizi za Leo ipi imekugusa?
Endelea kuburudika.......
"Swahili Na Waswahili"Pamoja Daima
1 comment:
Alo uwo wa kwanza nimeiupenda mno haya kachiki nawe endelea kuburudika----
Post a Comment