Da'Fay Pia alisisitiza Wanawake Tuungane,Tuinuane,Tusaidianae Pia Tupende vya Kwetu..Tujitoe ilitujifunze zaidi,,Tuache Ubinafsi ,Elimu ndiyo Mkombozi wetu..Tusonge mbele na Tuamke.....na Mengine Meeengi Sana.........
Mwanamke wa Shoka hapa katulia anasikiliza kwanza..... |
Akapewa Nafasi.... |
Msanii kaachiwa Jukwaaa........... |
Da'Mija alionngelea kwa nini Wanawake wanakuwa na Migogoro,Malezi,Familia,Kazi za Mikono,Kutokata Tamaa na Mengine Mengiiiiiiii..... |
Da'Stellah katika Poziii..... |
Aliongelea Kwa nini waliamua kufanya hii Shughuli ya Coventry Women Gala, Matarajio,Mafanikio,Mapito/Changamoto na Mengine meeeengiii.... |
Kwa niaba ya wenzie..da'Halima na da'Agness..waliwashukuru sana Wageni wao wengine walitoka Mbali ili kufanikisha Jambo Hili.. |
Da'Iren Mswahili ya KENYA........ |
Yeye alisisitiza si BOX tuu hapa...Wanawake Amkeni na mji -Ajiri inawezekana.. yeye ameji Ajiri sasa na mambo yake iko Pouwa.... |
Wanawake wametulia wakisikiliza kwa makini........ |
Mwanamke Urembo... |
Wasichana walioonyesha Mitindo ya Mwanamke wa Shoka.... |
Kanga hiyo... imevaliwa na mtoto wa Kiswahili... |
Mishono ndiyo hiyo....... na watoto wa kwetu... |
Summer..ipo njiani............. |
Wacha weeee.....Motooo...DJ Nae alituwekea Moshii..hahahhaha!!!!!!! |
Ahhhh dadake..Mwanamke wa Shoka,Da'MIJA Na Watoto wa Kiswahili...Mmewezaaaaaa... |
Mbunifu Da'Mija na Watoto/wadada wa Kiswahili..Pamoja Wakipoziii .......Baada ya kumaliza Maonyesho Yao..... Hakika mmeweza..MUNGU azidi kubariki kazi za Mikono Yako....... Picha Zaidi ingia;http://mitindoafrica-abroad.blogspot.co.uk/ |
Da'Stellah,Da'Halima,Da'Agness..Wakimpongeza Mwanamke wa Shoka na Walioonyesha mitindo!!!!!! |
Da'Mariam Kilumanga alifurahishwa sana sana na Kazi za Da'Mija pamoja na wasichana....kama unavyoona hapo Wakiongea zaidiiiiiii.... |
Kwa Furaha kabisa na bila ya kujizuia,baadhi ya watu walitoka mbele kupiga picha na kuongea nao ........ |
Kaka Paul ndiyo Alikuwa DJ wa Siku Yetu Amefanya kazi nzuri sana Tumuunge mkono...Kijana/Mtoto wa Nyumbani..namba yake..07521 32 15 43 ... |
Kaka Paul na Da'Rachel..Picha ya pamoja kwakumaliza vyema kazi ya BURUDANI!!!!!!!!!!! |
Kwenye Shughuli kula lazima na Tulishiba......... |
Waanzilishi wa COVENTRY WOMEN GALA.. HALIMA,STELLAH,AGNESS!!!!!! |
Wakakutana na Vichwa hivi...da'Mija,da'Rachel.[MI-RA]..hahaahaa..Moootoooo......
Kama ulikosa hii usikonde zitakuja nyingine zaidi..wewe tuu....
Kaa Tayari kwa Mambo ya Watoto;
MTOTO WA AFRIKA INAPIKWA!!!!!!
Kama utapenda kutudhamini,Ushauri/Maoni na Mengine ya Kuelimisha kwa Upendo..KARIBUNI SANA.
Nikiripoti Kutoka COVENTRY WOMEN GALA....
Ni mimi;RACHEL wa "SWAHILI NA WASWAHILI"
PAMOJA SANA.
1 comment:
Kweli nimeipenda hiyo MI-RA, tupo pamoja ndugu wa mimi
Post a Comment