Muwe na Amani,Baraka,Furaha na Tumaini...
Upendano wa ndugu na udumu.[2]Msisahau kuwafadhili wageni;maana kwa njia hii wengine wamekaribisha malaika pasipo kujua.
Neno La Leo:Waraka kwa Waebrania:13:1-6..Hata twathubutu kusema BWANA ndiye anisaidiaye,sitaogopa;Mwanadamu atanitenda nini?
"Swahili NA Waswahili" Neema na iwe nanyi Wote.
3 comments:
J2 NJEMA, Na j3 njema, mpendwa!
Jp njema kachiki halafu umetoka chicha hapo juu:-)
Asante sna Mpendwa ngugu wa mimi@emu-three..pamoja sana..
@Kadala wa mimi Asante sana..pamoja sana..
Post a Comment