Waungwana Siku kama ya Leo dada yetu Kipenzi PHOIBE Alizawali.
Ujumbe wake hapo chini;
AHSANTE SANA MWENYEZI MUNGU KWAKUNIPA UHAI HADI SIKU YA LEO. SIO KAMA MIMI NI MWEMA SANA ILA UNAMAKUSUDI YAKO YA KUNIWEKA HAI HADI SIKU YA LEO. NAKUSHUKURU SANA MUNGU WANGU, MAMA YANGU WEWE NDIYE ULIYENILETA DUNIANI TAREHE KAMA YA LEO MIAKA 43 ILIYOPITA, NAKUSHUKURU SANA MAMANGU MPNZI NAKUTAKIA MAISHA MAREFU SANA. KWAKO WEWE BABANGU KIPENZI JP NAKUSHUKURU SANA KWAKUNILETA DUNIANI INGAWA SIKU YA LEO HAUPO NAMI. NAKUOMBEA SANA BABANGU NAKUMISS SANA. R.I.P MY DAD. AHSANTE SANA MUNGU KWA MEMA YOTE UNITENDEAYO.
Nasi tunakutakia kila lililojema,Baraka,Amani,Furaha na Maisha marefu kama bibi Mwanapenza......
"Swahili NA Waswahili" Pamoja Daima.
2 comments:
hongera sana kwa siku yako ya kuzaliwa
ahsanteni sana wote, zaidi ahsante sana mdogo wangu Rachel.
Post a Comment