Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Saturday, 11 May 2013

Chaguo La Mswahili Leo;Mchanganyiko-Waka Waka,[Shakira]Congo Mama[Joe Mafela][Brenda][Lucky Dube] Na...!!!!




Waungwana Chaguo La Mswahili Leo..mambo Mchanganyiko..wewe tuu upate Burudani na kukumbuka wapi na ilikuwa vipi wakati huo unasikiliza/kuangalia Burudani Ya Leo..

Mengi sina nawatakia J'Mosi Njema..Twende sote sasa...Hai Congo mameee,Congo,Congo MAMAAA...Aiiii  SHEBELEZA Njalo MAMA.ekuseni MAMA..............

  "Swahili NA Waswahili" Tunawatakia Kheri na Baraka wote Wanaofunga Ndoa Leo na Watu Wote.



3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Kachiki umepatia kwelikweli..Tupo pamoja.

Said Kamotta said...

Hahahahaha! muziki wa kikongo huwa napata raha kusikiliza na kuangalia wanavyocheza lakini sijui maana ya kile wanachoimba.

Rachel Siwa said...

Pamoja sana KADALA...
@kaka Kamotta..unaongezea maneno yako tu..hahahhaha..