(Lifestyle)Jamii,Tamaduni ,Matukio,Maisha ya Waswahili. Wapendao Kiswahili/Waswahili,Marafiki wa Swahili na Waswahili, Na Mengineyo ya Karibu, Yahitajikayo Kujuzwa Waswahili.Karibuni sana!!!!!!!
Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!
Saturday, 11 May 2013
Chaguo La Mswahili Leo;Mchanganyiko-Waka Waka,[Shakira]Congo Mama[Joe Mafela][Brenda][Lucky Dube] Na...!!!!
Waungwana Chaguo La Mswahili Leo..mambo Mchanganyiko..wewe tuu upate Burudani na kukumbuka wapi na ilikuwa vipi wakati huo unasikiliza/kuangalia Burudani Ya Leo.. Mengi sina nawatakia J'Mosi Njema..Twende sote sasa...Hai Congo mameee,Congo,Congo MAMAAA...Aiiii SHEBELEZA Njalo MAMA.ekuseni MAMA.............. "Swahili NA Waswahili" Tunawatakia Kheri na Baraka wote Wanaofunga Ndoa Leo na Watu Wote.
3 comments:
Kachiki umepatia kwelikweli..Tupo pamoja.
Hahahahaha! muziki wa kikongo huwa napata raha kusikiliza na kuangalia wanavyocheza lakini sijui maana ya kile wanachoimba.
Pamoja sana KADALA...
@kaka Kamotta..unaongezea maneno yako tu..hahahhaha..
Post a Comment