Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Wednesday, 29 May 2013

Da'Tracey-Sarah Atimiza miaka 12!!!!













































Waungwana;Da'Tracey-Sarah, Ametimiza miaka 12..
Familia ya Isaac,Tunamshukuru sana MUNGU kwa YOTE!! Tunamtakia kila lililo Jema,Maisha marefu yenye Amani,Baraka,Upendo,Shukrani ,Utu wema, Awe  Kichwa na si Mkia... Awe Baraka Kwetu na Jamii Pia.
Na Iwe kama Tulivyo NENA.

Shukrani kwa Ndugu,Jamaa,Rafiki kwa kumtakia kheri/Maombi na Kuungana nae katika Siku hii Muhimu Maishani.
MUNGU AZIDI KUTUBARIKI
AMEEN.

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Hongera ssna na mumgu akujalie kila utendsalo?

emuthree said...

HONGERA SANA;Da'Tracey-Sarah. Ndugu wa mm tupo pamoja, hata ukipita mbali usisahau kunipungia mkono