Wapendwa Muwe na J'Pili yenye Furaha,Amani,Upendo,Neema,Utu wema na Upole Kiasi.....
Mwanangu,kama ukiyakubali maneno yangu, Na kuyaweka akiba maagizo yangu [2]Hata ukatega sikio lako kusikia hekima, Ukauelekeza moyo wako upate kufahamu;....
Neno La Leo;Mithali 2:1-11;Busara itakulinda;Ufahamu utakuhifadhi.
Nawapenda Woote.
5 comments:
Jumapili njema nawe pia familia...ahsabre kwa neno.
Jumapili njema na kwenu pia jamani wapendwa asante kwa nyimbo nzuri nimezungukaje yaani ni zunguka zunguka upendo wa Yesu umenizunguka
ubarikiwe sana mpendwa
Pamoja KADALA wa mimi...
@Mpendwa Anony..kama nakuona unavyozungukazunguka...Ameen...
Kwema mwanakwetu? ila umenoga kweli kweli
Sandee...Kwema mwanakwetu busy mingi tuu..ila kwa uwezo Inguluvi twajinoma tuu!!!
Umepote Segi wangu...
Post a Comment