Siku kama ya Leo da'Upendo Alizaliwa..[mamaa ya SIMBA]!!!!!!!!!
Waungwana Siku kama ya Leo Da'Upendo Alizaliwa..
Tunakutakia kila lililojema,Maisha marefu,Amani,furaha,Baraka na Mafanikio..
Da'Upendo Shabiki mkubwa wa SIMBA!!!!Iwe mvua/jua/baridi/joto..YEYE na SIMBA TUU.
"Swahili NA Waswahili"Pamoja sana.
1 comment:
Hongera kwa siku yako ya kuzaliwa..Nipo njiani alo kula hiyo keki japo kakipande tu:-)
Post a Comment