Wapendwa;Tumalizie J'Pili hii kwa kuwaombea, Wagonjwa,Wafiwa, Wenzetu wa Arusha, Wenye shida na Tabu, TANZANIA,AFRIKA,DUNIA.
MUNGU apate kuwalinda,Kuwaponya,kutatua shida zao, Amani iwe juu yao.
Nanyi mkiwa katika kusali,msi payuke-payuke,kama watu wa mataifa;maana wao hudhani ya kuwa watasikiwa kwa sababu ya maneno yao kuwa mengi.
Neno La leo;Mathayo Mtakatifu:6:1-21.
"Swahili Na Waswahili" MUNGU atubari Sana.
2 comments:
AMEN..MY SIS
Nakubsliana nawe na kuwa kila mtu anahitaji kufanya maombi.
Post a Comment