Ni Kweli Kwa Afrika Mashariki na Kati Kenya wanaongoza kwa uwandaaji wa Sherehe, Kuanzia Mapambo,Uvaaji,Burudani,picha na Yotemuhimu yahitajiwayo?
Jee wewe unapicha,Video, za Arusi,Pati za jikoni,Kuagwa,Kipa imara na nyinginezo..za Miaka mitano Nyuma na kuendelea na ungependa kushiriki nasi?
Unaweza kututumia ili tukumbuke/kumbushane ilikuwaje wakati huo au wewe ulivaaje/ulitokelezeaje na siku yako ilikuwaje.
Tuma kupitia Email;rasca@hotmail.co.uk
Nawe unayefunga Ndoa sasa usisite kututumia...Wewe unayetafuta Mwenza/Mchumba usikate Tamaa..Mshirikishe MUNGU yupo nawe wala Hajakusahau/kukuacha.
Swahili-Matukio/Events
Pamoja Sana.
No comments:
Post a Comment