Wapendwa; Tumalize J'Pili hii kwa Imani,Ushindi na Upendo wa Kweli...
Lakini sasa,BWANA aliyekuhukumu,Ee Yakobo,yeye aliyekuumba,Ee Israel,asema hivi,Usiogope,Maana nimekukomboa;nimekuita kwa jina lako, wewe u wangu.
Neno La Leo;Isaya:43:1-19;Tazama nitatenda neno jipya;sasa litachipuka; je! Hamtalijua sasa?Nitafanya njia hata jangwani, na mito ya maji nyikani.
"Swahili Na Waswahili" Mbarikiwe wote.
5 comments:
Ahsante kwa neno nawe ubarikiwe pia.
Ndugu wa mimi nimekumiso!
Ndugu wa mimi nimekumiso!
Ndugu wa mimi nami pia nimekumisooo mnoo..mtu wangu..Asante sana tupo pamoja kabisa...
Ameeen KADALA wa KACHIKI..
Post a Comment