Waungwana; Leo tunaye "NYOTA NDOGO" Ni ndogo inayo Nga'aa...
Mhhh...Rafiki yangu mpendwa...naja kwako siku nyingi wanipokea kwa uzuri siku zote,Wakati sina wanipa nitakachoo.....
Hivi majuzi nilipata kazi nzuri nikaja kukueleza,Mtu wa kwanza nilifiria ni wewe rafiki yangu,Nilifurahi na kuruka na kutaja jina lake Mungu......... Ohhh Kuna Watu Na Viatu DUNIANI!!!!!!
Mhhh si Maneno yagu....... Endelea mwenyewe Mpenzi.....
Jee huyu Rafiki utamuweka kwenye Fungu Gani?
Nyota Ndogo anakubamba/kupenda kazi zake?
"Swahili Na Waswahili" Pamoja Daima.
1 comment:
ukweli ni kweli
Post a Comment