Waungwana;"Waswahili na Maisha Yao",Waswahili wa Marekani DMV, wana utaratibu huu wa kukutana pamoja kila J'mosi na J'pili na Kuwa na Futari/Kufuturu pamoja.. Hii inaonyesha kuwa Waswahili hawa hawasahau baadhi ya mambo Mema/Mazuri ya kwao,Ukarimu,Umoja na Mengine meengi.
Hongereni Sana na Muwe na Funga Njema.
Shukrani;Vijimambo Blog.
"Swahili NA Waswahili" Pamoja Daima.
1 comment:
Twawapa hongera kwa hilo, kweli hiyo ndio tabia yetu waswahili
Post a Comment