Wapendwa;J'Pili hii tuendelee kuwaweka mikononi mwa BWANA wenye Shida na Tabu.
Ikawa tulipokuwa tukienda mahali pale pa kusali,Kijakazi mmoja aliyekuwa na pepo wa uaguzi akatukuta, aliyewapatia bwana zake faida nyingi kwa kuagua.
Neno La Leo;Matendo ya Mitume:16:16-34;
Ikawa tulipokuwa tukienda mahali pale pa kusali,Kijakazi mmoja aliyekuwa na pepo wa uaguzi akatukuta, aliyewapatia bwana zake faida nyingi kwa kuagua.
Neno La Leo;Matendo ya Mitume:16:16-34;
Muendelee kuwa wakati mwema Kila iitwapo Leo.
"Swahili na Waswahili" MUNGU ni mwema.
4 comments:
Nawe pia kachiki na familia yako sisi hapa mvua tu...
Amen
Madame umetoka!!
Nimependa ulivyosema tuwaombee wenye shida na taabu kwani imenifanya niwaze kidogo.. Nini tofauti ya shida na taabu?
Siku njema Madame.
Ameen! Ameeen! Ameeeeeen!!Asanteni wote..
Duhh dadake'mija;Kuna wenye Shauku,Wasiwasi,Fadhaa,Kuchanganyikiwa, na mahitaji ya kawaida.
Kuna Wenye;Wakati Mgumu saaana, Kufiwa, Kukata Tamaa,Dhiki,Kuumwa na Mahitaji ya Lazima/Haraka.
Nionavyo mimi..Ruksa kutofautiana nami/Kunikosoa/kuelimisha na Kujuzana zaidi.
MUNGU awabariki sana.
Post a Comment