Tumalizie J'Pili hii vyema na Amani.....MUNGU na atufadhili na kutubariki, Na kutuangazia uso wake.
Neno La Leo;Zaburi:66:1-7..MUNGU atubariki sisi;Miisho yote ya dunia itamcha Yeye.
Neno La Leo;Zaburi:66:1-7..MUNGU atubariki sisi;Miisho yote ya dunia itamcha Yeye.
"Swahili Na Waswahili" MUNGU ni Mwema Sanaa.
1 comment:
Ahsante Kachiki...naamini nawe uliimaliza jumapili hii 23 ya mwaka C vema sana kwa upendo na amani. Ahsante kwa neno la leo.
Post a Comment