Waungwana;Wanawake Na Mitindo, Hii mitindo sasa inaenda na Inarudi..Lakini haiishi hamu,Zaidi Style za Ubanaji zinaongezeka..haya ukibinua kushoto/kulia Juu/Chini inakwenda tuu na inapendeza sana.
Unakumbuka mitindo/misuko hii ya Rasta ilianza lini?
Jee wewe unaipenda? na jee inampendeza kila mtu au inaendena na sura ya mtu.. Nyembaba/Ndefu.Pana/Mviringo?
Vipi hii Mitindo inaendena na Umri?
Mwanamke Kupendeza na Kuiga sawa/kupo, Lakini tusivuke Mipaka.
Karibuni Wote Kwa Maoni/Mawazo, Ushauri,Tuelimishane kwa Upendo.
Kwa Mitindo Zaidi ingia;http://www.mitindoafrica-abroad.blogspot.com/
"Swahili Na Waswahili" Pamoja Sana
4 comments:
Kuna wanaume wanasuka, na yenyewe ina mitindo yake, ...mmh, sasa kusuka, kuvaa hereni, tunasubiri kuvaa gauni
Keep this going please, great job!
Keep on working, great job!
Great post.
Post a Comment