Hapa tunapokumbukia Chipsi za Nyumbani, Ma binti zangu hupenda sana Chipsi Mayai[ZEGE]Na sasa wanapika wenyewe kama unavyoona hapo juu,Nyama Choma Baba anawasaidia... |
Waungwana;Jikoni Leo Mtaani na Kwa Da'Rachel..
Vipi Chipsi Vumbi/za Mitaani Zina Raha gani? Na Karaha Gani?
Kuna mtu hajawahi kula Chipsi hizi?
Jee wewe uliyekula/Unayekula Wapi KIJIWE bomba Cha Chipsi upendacho?
Pale Dar,Ilala Kulikuwa kwa Ndago,Barafaa....
Pale Iringa,Kulikuwa kwa Baba Nusa...
Hizi ni Chache tuu nawe Waweza Kuongezea....
"Swahili Na Waswahili"Pamoja Sana.
1 comment:
Duh..bonge la mapishi....nimetamani hasa nyama choma...chips mayai si mupenzi....
Post a Comment