Wapendwa;Nimatumaini yangu J'Pili inaendeleavyema...
MUNGU ni Pendo.Mimi nakupenda sana wewe uliyepita hapa/Unayepita hapa na Woooote....Muwe na Amani,Furaha na Upendo wa kweli...
Wapenzi na Mpendane;kwakuwa pendo latoka kwa MUNGU, na kila apendaye amezaliwa na MUNGU,naye anamjua MUNGU.
Neno La Leo;Waraka wa Kwanza wa Yohana:4:7-21
"Swahili Na Waswahili" Pamoja Sana.

2 comments:
Naamini nawe ulikuwa na jumapili njema sana pia familia yako:-) Kadala
Asante..KADALA.tunamshukuru MUNGU.
Post a Comment