Nawatakia J'Pili Njema;Burudani-Here I am to Worship[Playlist]!!!!
Wapendwa;Muwe Na J'Pili yenye Baraka,Amani,Upendo na Furaha...
Lakini nafsini mwangu nalikusudia hivi,nisije kwenu tena kwa huzuni...
.Maana mimi nikiwatia huzuni,basi ni nani anifurahishaye mimi ila yeye ahuzunishwaye nami?
Neno La Leo;2Wakorintho:2:1-11.
"Swahili Na Waswahili" Mbarikiwe Sana.
2 comments:
Jumapili iwe njema na kwako pia.
Asante KADALA wa mimi.
Post a Comment