Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Sunday, 17 November 2013

Tumalizie J'Pili hii Vyema;Burudani-Kutoka,One Nation Gospel Na Gisubizo Choir!!!


Tumalizie J'Pili hii vyema.. Iwe Yenye Neema,Baraka,Upendo na Amani....BWANA asipojenga nyumba Waijengao wafanya kazi bure.BWANA asipoulinda mji Yeye aulindaye akesha bure.........

Neno La Leo;Zaburi:127:1-5





"Swahili Na Waswahili" Pamoja Sana

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

NAWE PIA KACHIKI!!!

Rachel Siwa said...

Asante sana KADALA wa mimi..ilikuwa njema.