Waungwana ni Jikoni Leo; Tuangalie Mapishi mbalimbali kutoka kwa da'Sheikha..
Mmmhh hakika sikuhizi kama wewe ni mpikaji na unataka kujifunza mapishi tofauti hakuna linaloshindikana.
Usitafute visingizio, Oohh mama nanihii nipikie oohhh sijafundishwa na mama/shangazi/dada,Nyumbani...
Pia kama unakinyaa,Hupendi kula chakula cha mtu usiyemjua/sehemu usiyoiamini usafi wake.Ingia Mitandaoni tuu kila kitu utapata maelekezo yoote na upike mwenyewe...
Haya TEAM[Timu] Mapishi kazi kwenu............

Shukrani;Sheikha Agil
"Swahili Na Waswahili" Pamoja Sana.
1 comment:
Twashukuru sana ndugu wa mm tupo pamoja
Post a Comment