Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Sunday, 1 December 2013

Nawatakia J'Pili Njema yenye Baraka;Burudani-Bahati Bukuku,Naomba niulize na Nyingine!!!

Wapendwa muwe na J'Pili Njema yenye,Shukrani,Imani,Upendo na Furaha...
Ninyi ni chumvi ya dunia,lakini chumvi ikiwa imeharibika itatiwa nini hata ikolee?
Neno La Leo;Mathayo Mtakatifu:5:11-16.
Vivyo hivyo nuru yenu na iangaze mbele ya watu, wapate kuyaona matendo yenu mema, wamtukuze Baba yenu aliye Mbinguni.








"Swahili Na Waswahili" Mbarikiwe Sana.

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

Na kwako pia Kachiki pamoja na familia na wengine wote watakaopita hapa.