(Lifestyle)Jamii,Tamaduni ,Matukio,Maisha ya Waswahili. Wapendao Kiswahili/Waswahili,Marafiki wa Swahili na Waswahili, Na Mengineyo ya Karibu, Yahitajikayo Kujuzwa Waswahili.Karibuni sana!!!!!!!
Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!
Thursday, 13 February 2014
Jikoni Leo; Tupo Sokoni-Zanzibar Market!!!!!
Waungwana; "Jikoni Leo" tupo sokoni. Nini kimekufurahisha na nini kimekuchukiza katika masoko haya? Kwa walio mbali na Nyumbani nini kimekukumbusha na unakikosa hapo ulipo? "Swahili Na Waswahili" Pamoja Daima.
No comments:
Post a Comment