Waungwana;"Jikoni Leo" Tupo na Njoo Tupike Na Chef Kile.
Vijiwe/Vibaraza vya Mapishi kwa sasa Vinakuwa Kwa Kaaasi.
Sasa kama wewe ni Mpishi/Unapenda Kujifunza ,Mpenzi wa mapishi mbalimbali Wakati ndiyo huu.
Nisiwachoshe na Maneno Meengi...
Sasa kama wewe ni Mpishi/Unapenda Kujifunza ,Mpenzi wa mapishi mbalimbali Wakati ndiyo huu.
Nisiwachoshe na Maneno Meengi...
Twende Sote sasa;"Jikoni Leo" Na....
Jee kuna faida/umejifunza kitu hapa?
Mimi hii ya Ndizi Mzuzu kwa Oveni nimeondoka nayo/Nimejifunza!!!!
Zaidi ingia;youtube.Njoo Tupike /http://www.njootupike.com/
"Swahili Na Waswahili"Pamoja Daima.
No comments:
Post a Comment