Wapendwa;Nimatumaini yangu JumaPili hii Imeenda/inaendelea Vyema...Muwe na Amani,Baraka,Rehema, na Upendo
Mwanangu,usiisahau sheria yangu,Bali moyo wako uzishike amri zangu.
Neno La Leo;Mithali:3:1-10
Rehema na kweli zisifarakane nawe;Zifunge shingoni mwako;Ziandike juu ya kibao cha moyo wako.
Mwanangu,usiisahau sheria yangu,Bali moyo wako uzishike amri zangu.
Neno La Leo;Mithali:3:1-10
Rehema na kweli zisifarakane nawe;Zifunge shingoni mwako;Ziandike juu ya kibao cha moyo wako.
Mmmmhhhhh..MUNGU ni MWEMA SAANA.
"Swahili Na Waswahili" Mbarikiwe Wote Mliopita Hapa.
1 comment:
Nawe ubarikiwe pua kwa kutufanya tupita hapa uswahilini.
Post a Comment