Mubelwa Bandio wa Kwanza Production akimhoji Fabian Lwamba wa kundi la KRYSTAAL |
Lwamba Brothers |
Walikuja kuungana Canada ambako kwa miaka 16 wamekuwa pamoja kama kundi la muziki wa injili.
Amezungumza pia mkanganyiko wa IMANI na TAMADUNI zetu.
Swali.... Ni upi muziki wa INJILI?
Na yeye ambaye ni Mchungaji katika kanisa lao, anasemaje kuhusu TOFAUTI YA KUABUDU KATI YA AFRIKA NA MAGHARIBI
Mpaka sasa, Krystaal wametoa albamu 6 na kupata tuzo 26

Karibu uungane nasi
Kwa maoni ama ushauri usisite kuwasiliana nasi kupitia kwanzaproduction at gmail.com
No comments:
Post a Comment