Waungwana;Chaguo La Mswahili Leo; ni Mary Mary..kitambo kidogo na sasa..zipi zinakubamba/kuzipenda..zamani au sasa au zooote?
Nisikuchoshe..Twende Sote sasa......
>
Nisikuchoshe..Twende Sote sasa......
>
"Swahili Na Waswahili"Pamoja Daima
3 comments:
Duh! Nilipotea sasa nipo nawe Kachiki wangu:-)
Duh..nilikumiss sana dada Kadala wangu...Karibu tena..Natumai ulikuwa na wakati mzuri,mapumziko na Familia...
Namu nililumiss...nilikuwa na muda mzuri sana kubua mengi kwa wanetu...
Post a Comment