(Lifestyle)Jamii,Tamaduni ,Matukio,Maisha ya Waswahili. Wapendao Kiswahili/Waswahili,Marafiki wa Swahili na Waswahili, Na Mengineyo ya Karibu, Yahitajikayo Kujuzwa Waswahili.Karibuni sana!!!!!!!
Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!
Wednesday, 1 October 2014
Mahojiano na waandaaji wa SWAHILI FESTIVAL Marekani
Patric Kajale. Mmoja wa waandaaji wa Tamasha hilo. PHOTO CREDITS DMK Blog
Karibu katika mahojiano kati ya Mubelwa Bandio na waandaaji wa SWAHILI FESTIVAL iliyofanyika Sept 21 jijini Bladensburg, jimbo la Maryland nchini Marekani Karibu
No comments:
Post a Comment