Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Monday, 27 October 2014

Mswahili Wetu Leo;Da'Zahabu Luciannne -Tabia Ya Bibi mbele ya Bwana[Haya Wamama wa Ng'ambo kazi kwenu]..

Waungwana; Mswahili wetu Leo...da'Zahabu Lucianne...
Haya Wamama wa Ng'ambo kwanini Hamuwaheshi ma Bwana?
 Mnasugulishaga ma Bwana masaani,Kutwa mpo kwa Facebook na Musimu......
Muache kuita ma Bwana majinaa eeh Bwana yako eehh.........


Twende pamoja na da'Zahabu...





Shukrani;Augmanify

"Swahili Na Waswahili"Pamoja Daima.

6 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Ndoa za utamaduni:- Tatizo ni kwamba sisi waafrika tunaiga mno maisha ya wenzetu wazungu na kutupa mila zetu tulizokuwa nazo...na mwisho wa siku kila kitu kinakuwa ovyo...Nimependa hii hasa pale aliposeama mmoja lazima ajishushe.

Unknown said...

Na ku encourage sana dada Zahabu L,kama unataka mchango wa kimawazo au kifeza,pia na ki media tuko tayari,...info@umojaconnect.org
www.umojaconnect.org

emu-three said...

tupo pamoja

emu-three said...

tupo pamoja

Rachel Siwa said...

Asante dada mkubwa Kadala wa mimi..

@kaka Jean Ngoyi Shukrani...

Ndugu wa mimi pamoja sana@emu-three

Unknown said...

Nipongezi kubwa kwa dada Zainabu kufunza madada na makaka / Mama na ma Baba....mungu akubariki na nakuombea Xmas eve njema na happy new year kwa family yako