Wapendwa;Nawatakia kila lililo jema..Nawapenda wote |
58Basi, ndugu zangu wapenzi, simameni imara na thabiti. Endeleeni daima kuwa na bidii katika kazi ya Bwana, mkijua kwamba kazi mnayofanya katika utumishi wa Bwana haitapotea bure.
Neno La Leo;Wakorintho:15:1-58
Ufufuo wa Kristo
Ufufuo wetu
Mwili wa ufufuo
"Swahili Na Waswahili"Mbarikiwe Sana.
2 comments:
Naamini jumapili yako ilikuwa njema pia umetokezea Kachiki wa mimi. Ahsante kwa neno.
Asante sana Kadala wa mimi...ilikuwa njema kabisa Mungu yu mwema sana...
Post a Comment