(Lifestyle)Jamii,Tamaduni ,Matukio,Maisha ya Waswahili. Wapendao Kiswahili/Waswahili,Marafiki wa Swahili na Waswahili, Na Mengineyo ya Karibu, Yahitajikayo Kujuzwa Waswahili.Karibuni sana!!!!!!!
Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!
Wednesday, 16 September 2015
Jikoni Leo;Vilosa ( sweet rice dumplings)
Mahitaji, vipimo kwa vilosa 20 Unga wa ngano mweupe 1/2 Kikombe Unga wa mchele 1/2 kikombe Mayai 2 Tui la nza kikombe kasoro ( 3/4) Hamira kijiko cha chai 1 na 1/2 Hiliki ya unga kijiko 1/4 Zafarani kidogo Mafuta au samli ya kukaangia
No comments:
Post a Comment