Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Sunday, 8 May 2016

Jumapili iendelee kuwa Njema;Burudani-Christopher Mwahangila-Mungu Ni Mungu Tu na Edson Mwasabwite - Ni Kwa Neema Na Rehema





Natuini Jumapili ilikuwa/inaendelea vyema..
Mungu azidi kuwabariki kwa kila jambo..
wanaopitia magumu..Mungu akawaguse..
Mungu yu mwema sana...
Nawapenda wote na muwe na wakati mwema...


Umuhimu wa methali
1  Hizi ni methali za Solomoni mfalme wa Israeli, mwana wa Daudi.2Methali hizi zawapatia watu hekima na nidhamu; zawafanya waelewe maneno ya busara, 3zawafanya kuwa na nidhamu, utaratibu, uadilifu, haki na kutenda kwa usawa. 4Huwapatia wajinga werevu na vijana maarifa na hadhari. 5Mwenye hekima azisikie na kuongeza elimu yake, naye mwenye busara apate mwongozo. 6Mtu aelewe methali na mifano, maneno ya wenye hekima na vitendawili vyao.
7  Kumcha Mwenyezi-Mungu ni msingi wa maarifa,
lakini wapumbavu hudharau hekima na adabu.
Bible Society of Tanzania





"Swahili Na Waswahili"Pamoja Daima.

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Kachiki! naamini sijachelewa ...jumapili ilikuwa njema na naamini nawe na familia ilikuwa njema pia. Pamoja daima. Kadala wako

Rachel Siwa said...

Asante sana Kadala wa mimi,nasi ilikuwa njmea.